Diamond na Sallam Sk wafunguka ishu ya kutemana, Babutale asubiri kutumbua jipu

Aiming high! Diamond Platnumz announces launch of new business venture

Meneja wa Diamond Platinumz Sallam Sk amewanyamazisha waja waliokuwa wakidai kuwa yeye na nyoto huyo wa bongo fleva basi tena.

Katika mitandao ya kijamii tangu juzi zilisambaa taarifa zilizodai kuwa wawili hao hawafanyi kazi pamoja tena kwa kile kinachoelezwa kuwa Diamond alitoa utambulisho wa Sallam katika insta yake na sallam kufanya hivyo hivyo.

Meneja wa Diamond na AY, Sallam afungukia makosa ya Alikiba ...Lakini jana kupitia ukurasa wake wa instagram Sallam ambaye ni meneja wa Diamond kwa shughuli za kimataifa alimposti Diamond na kudai kuwa waliokuwa wanaeneza maneno hayo wanaaka kupatia kiki blogu zao.

“Umewaona wale wanataka kuboost viblog vyao vimekosa habari, sasa wacha tuwape habari njema au unasemaje Diamond Wajiandae leo au kesho kwenye Insta Live?”

Diamond responds after manager tests positive for coronavirus ...Baada ya posti hiyo Diamond alijibu akisema “Nakuskiliza Mzee Professour We Nipe Su niSusushe!” huku meneja mwenza Babutale akisema muda unasubiliwa kwa hamu kupasua jibu.

Dj wa Diamond Rommy Jons amehoji kwanini Sallam amepona huku Waziri wa mali asili na utalii nchini akisema hiyo ni kiki.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *