Makonda afunguka kuhusu hoteli za wagonjwa wa Corona, zilivyopatikana na huduma

Image result for paul makondaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amefunguka juu ya namna ambavyo wanaotengwa wanahudumiwa katika hoteli zilizotengwa huku akisisitiza watu waliopaswa kujitenga kujitenga.

Katika mahojiano na moja ya televisheni hapa nchini amesema hoteli zilizotengwa zipo za hadhi tofauti na zimetengwa ili kuondoa hofu na kutumia vizuri rasilimazliz zilizopo ikiwemo vyombo vya ulinzi na wataalamu wa afya.

Amsema hoteli zimetengwa kwa kuzingatia mahusiano kwani halikuwa jambo la lazima na waliofanya kazi hiyo ni wakuu wa wilaya.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *