Kabla Ya COVID-19,Haya Ndiyo Magonjwa Mengine Yaliyosababishwa Na Virusi Vya Corona

Image result for coronavirusKwa mujibu wa wataalam wa afya hii sio mara ya kwanza kwa kirusi cha Corona kuleta taflani dunia inalezwa kuwa kirusi cha Corona, ni familia kubwa ya virusi vilivyogawanyika kwenye jumla ya koo kuu 4 na koo hizi zimegawanyika mara mbili zile zinazokaa kwa binadamu na zile zinawaathiri wanyama, wataalam wanasema kuwa Corona anayekaa kwa binadamu hana shida lakini pindi Corona ayekaa kwenye mnyama akija kwa binadamu ndipo anapoleta shida kwenye afya ya binadamu hivyo zifuatavyo ni baadhi tu ya mara ambazo Corona iliripuka duniani nankuleta taharuki   

SARS (2002-2003)

Image result for sars-cov-2Kwa mujibu wa wataalam wa afya ugonjwa huu ulianza mnamo mwaka 2002 huko China na inaseme kana alitokea kutoka kwa mnyama popo ambaye inasemekana ameliwa au kushikwa na binadamu kabla ya kula, inaelewezwa kuwa  kirusi cha SARS ni moja kati ya wanaukoo wa kirusi kikubwa cha Corona ambacho kinasumbua dunia kwa sasa, bado hakupatikana dawa ya kutibu japo hali yake iliweza kutulia bila kusambaa dunia kote

MERS (Middle East respiratory syndrome coronavirus)Image result for mers coronavirus

Virusi hivi ambavyo navyo vilikuwa vinatoka kwenye familia kubwa ya virusi vya Corona inaelzwa iliibuka huko kwenye nchi za mashariki ya mbali hasa hasa kwenye nci ya Saudi na inaelezwa mpaka sasa ugonjwa huu uliua asilimia 35 ya watu wote waliugua ugonjwa huu, kirusi hiki hakikukuwa na uwezo mkubwa sana wa kusambaa kati ya mtu na mtu hali iliyosababisha  kushidwa kusambaa kwa wingi dunia nchi zilizo athirika zaidi na MERS zilikuwa Saudi Arabia,Falme za Kiarabu na Korea, Mpaka sasa inaelezwa kuwa ugonjwa huu umetoka kwa mnyama ngamia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *