Idadi ya Wagonjwa wa Corona Kenya Yaongezeka Yafikia 31

Health Chief Administrative Secretary MercyWizara ya Afya nchini Kenya imesema watu watatu wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Covid 19 unaosabaishwa na virusi vya Corona na kupelekea idadi ya wagonjwa nchini humo kufikia 31

Imeelezwa kuwa wagonjwa hao wote ni Wanawake raia wa Kenya wenye umri kati ya miaka 30-61 na walikuwa karibu na wagonjwa wa Virusi hivyo Wizara imesema pia Tayari wagonjwa wapya wapo karantini wakiwa chini ya uangalizi wa wataalamuImage result for coronavirus Kenya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mercy Mwangangi amesema watu takriban 1,089 wamekuwa karibu na wagonjwa hao na 123 kati yao tayari wameruhusiwa baada ya kumaliza siku 14 za uangalizi huku wengine 906 wakiwa chini ya uangalizi

Kaunti zilizoripoti maambukizi ya virusi vya Corona hadi sasa ni Nairobi, Kilifi, Kwale, Mombasa na Kajiado

Image result for coronavirus Kenya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *