Fanya Mazoezi Haya Kuongeza Uwezo Wako Kitandani

Image result for home workoutMazoezi ni moja kati ya njia ambazo zinaweza kukusaidia kuinua mwili wako na kukusaidia kulinda  mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali na hata matatizo ya nguvu za kiume inafanya yafuatayo ni baadhi ya mazoezi ambayo yanasaida kusisimua misuli ya mwili inayoweza kukusaidia kuongeza msisimuko(nguvu za kiume)

1.SquatImage result for squat workout

Zoezi hili kinasaidia kuimarisha misuri ya kwenye mapaja na uloto kwenye kwenye magoti ambayo inasaidia kwenye uzalishaji wa msanii ambazo zikipungua na kuwa chache zinafanya mwanaume auume wake usindwe kusimama vizuri kutokana na ukosekanaji wa manii kwenye ghara la manii

2.Push UpImage result for push up

Hii inasaidia kusisimua misuli ya mwili kwa namna yoyote ile kwanzia msuli wa mikono maka magoti na mwili unaosisimuka husaida damu kuweza kutembea vizuri sehemu zote za mwili na zinaweza kufika mpka kwenye sehemu ambazo zamani zilikuwa hazifiki vizuri hivyo kufanya mazoezi haya mara kwa mara itakusaidia kuongeza uwezo wako kitandani

3.JoggingImage result for man jogging

Kama ilivyo kwa push up hii inasaida kuyeyusha mafuta na kusisimua misuli ya mwili, mafuta ambayo hayatumiki mwilini yanabaki kwenye milija ya damu na inaweza kuzuia damu ambayo inasaida uzalilishaji wa manii na kuleta nguvu mwilini na ndio nguvu za kiume zenyewe hizo

4.KutembeaImage result for man walking

Hii ni kama kukimbia lakini hii inaweza kusisimua mwili japo kwa kiwango kidog ila inasaida kama hujawahi kabisa kufanya mazoezi ukifanya mazoezi haya yanasaidia kurudisha taratibu hali ya mwili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *