Baada Ya Kutajwa Simba, Tshishimbi Kwenye Kikao Kizito Yanga

Baada ya hapo jana kiungo mkabaji wa klabu ya Yanga Mkongomani Papy Tshishimbi kunukuliwa na kituo cha redio cha Efm kuwa aelewi kinachoendelea juu ya mkataba mpya  na klabu yake ya Yanga baada ya yeye kutaja kiasi anachokitaka na klabu hiyo kukaa kimya

Leo kiungo huyo ameonekana kwenye mkaa makuu ya klanu hiyo akiwa na kabitu mkuu wa klabu hiyo Dk.David Luhaga wakifanya kikao kizito kinachosekana kuwa ni cha kujadili hatma ya kiungo hiyo

Bado haijafahamika kikao hicho ni kwa ajili ya mubakisha papy au la kwkaua hakuna gaarifa yoyote ilyotolewa na klabu au mchezaji mwenyewe mpaka sasa

Tshishimbi anatarajia kumalia mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na kuna uwezekano mkubwa wa kutimka klabu hapo mara baada ya wapinzani wa yanga Simba Sc kuonyesha nia ya kumtaka kiungo huyo

  

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *