Mbowe na familia yake wabainika hawana Corona wakiwa karantini baada ya mtoto kunaswa

Familia ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe imesema baada ya mtoto wao kukutwa na ugonjwa wa…

Unyunyuziaji wa dawa za kupambana na Corona Dar wazua mjadala

Zoezi la unyunyuziaji wa dawa za kuua virusi vya corona limeanza katika baadhi ya maeneo ya…

Makonda afunguka kuhusu hoteli za wagonjwa wa Corona, zilivyopatikana na huduma

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amefunguka juu ya namna ambavyo wanaotengwa wanahudumiwa…

Majaliwa asema Serikali inandaa karantini za bure, atoa maelekezo kibao

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika mpango wa kuandaa karantini za bure kwa ajili…

Nyalandu asisitiza hatua madhubuti kwa nchi masikini kukabiliana na Corona

Wanasiasa nchini hususani wa upinzani wameendelea kusisitiza juu ya kuchukuliwa kwa hatua madhubuti hapa nchini katika…

Kifo cha kwanza cha Corona charipotiwa nchini Kenya, Afrika Mashariki

Kenya imetangaza kifo cha kwanza cha mgonwa aliyekuwa akiugua virusi vya corona na kuifanya nchi hiyo…

Uongozi wa Harmonize wafunguka Album ya Afro East kupotezwa mtandaoni

Meneja wa masanii Hamonize (Kondeboy) umezungumzia suala la albamu ya msanii huyo iliyotolewa hivi karibuni (Afro…

Idadi ya Wagonjwa wa Corona Kenya Yaongezeka Yafikia 31

Wizara ya Afya nchini Kenya imesema watu watatu wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Covid…

Fanya Mazoezi Haya Kuongeza Uwezo Wako Kitandani

Mazoezi ni moja kati ya njia ambazo zinaweza kukusaidia kuinua mwili wako na kukusaidia kulinda  mwili…

Mtoto wa Wema Sepetu gumzo mtandaoni, wafuasi wake wafikia 3,000

Kama unasimuliwa na mtu unaweza kusemani uzushi lakini ukweli ni kwamba Msanii wa Bongo Fleva Wema…