Zanzibar Yatangaza Mgonjwa Mwingine Wa Corona

Image result for hamad rashidWaziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid ametangaza uwepo kwa mgonjwa mwingine wa virusi vya Coroba vinavyosababisha ugonjwa wa Covid19 ambaye ni raia wa Ujerumani na mwenza wa Mgonjwa wa kwanza

Mgonjwa wa kwanza ni raia wa Ghana ambaye alifuatana na mwenza wake huyo na walitokea Ujerumani wakapitia Ufaransa na Nairobi kisha ZanzibarImage result for hamad rashid

Aidha, Serikali ya Zanzibar imesema kuwa inafunga mipaka ya visiwa hivyo baada ya siku 3 zijazo hivyo hakuna atakayeruhusiwa kuingia wala kutoka visiwani humo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *