Ukiona Haya Muache Fasta Kabla Hayajakukuta

Image result for loversKatika mapenzi kuna misukosuko mbalimbali ambayo wapenda nao huwa wanapitia kila siku na kuna mengine ambayo wapendanao wanapashwa kuacha kuyatatua zaidi ya kuachana na kila mmoja kuchukua njia yake sasa zifuatazo ni baadhi ya dalili ambazo mwanaume au mwanamke ukiyaona kwa mwenzi wako hebu epuka na kumuacha mara moja kabla hujafa kwa presha

1.Aishi kulalamikaImage result for lovers

Kila unachokifanya kwake hakuna hata jema moja ni mtu wa kulalamika masaa yote hata umtende mema kiasi gani yeye hajali inachokijua ji kulalamika tu na hata kama ukijitahidi kuomba msamaha mwenzako yuko bize tu kutoa lawama kwako ndugu yangu ka ukijua tu anatafuta tu sababu ya kuachana na wewe na sio kwamba analalamika ni kwenye kila kitu kwa kumaanisha

2.Simu Yake ni Sumu

Image result for diamond platnumz on phone

Kila alipo na simu yake ipo yaani hata akiwa kwenye kuoga basi sinu yupo nayo basi kaa ukijua kabisa kuwa mwenzi wako sio wako tena bali ni wenu kuna mwingine naye anachuma matunda ya mti wako unaupenda tena kama mwanzoni ulikuwa unapata wasa wa kukaa na simu yake lakini saa hivi ndo hivyo simu yake i ekua kituo cha polis basi jua tu

3.Amepunguza Mambo Ya Ndani (Tendo)

Ukiona unaanza kuambiwa kuwa tuanze kukutana kwa ratiba kama chakula cha shule basi kaa ukijua tu mwenzi wako kuna mwingine ambaye anapewa akitaka hivyo ni vyema ukiona hivyo ukae naye na muanze kuzungumza kiutuzima ili kujua ni nini shida na kama unaona hapo hakuna majibu basi ni vyema ukachukua njia yako tu ndugu yangu samaki ni wengi baharini kavue mwingine

4.Hana Furaha akiwa na weweAlikiba-Jokate-IV

furaha inaoonekana kwa macho ndugu yangu usidanganyike eti furaha haionekani kwa macho basi ukiona mwenzi wako hana tena furaha ya kukaa na wewe au hata kuoge na wewe kaukijua kuna mwingine ambaye akiwa naye anafurahi kma ilivyokuwa kwako mwanzoni hakuna mganga wa kienyeji wala dokta wa madigrii atakaye kusaidia kujua usaliti huu shtuka

5.UmemfumaniaImage result for fumanizi

Kwa kuna la zaidi hapa ndo ujue kabisa kuwa hutakiwi umemkuta na mwanaume mwingine mabye tayri unajua huyu anamauhisnao naye kwa kuangalia vigezo vyako mwenyew basi huna la kufanya zaidi ya kutafuta nyumba ya kwenda kuisi maana unyumba yako unayokaa kwa sasa imeshapata mpangaji mpya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *