Ngassa wa Yanga afunguka asema maisha ya kwenye Tv na uhalisi ni tofauti

Mchezaji wa Yanga Mrisho Ngassa ambaye ni mfungaji bora wa Timu ya Taifa Stars amefunguka juu ya maisha ya kwenye Tv na uhalisia.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Ngassa ameelezea kidogo juu ya uzoefu walioupata siku za hivi karibuni alipokuwa msibani kwa babu yake Bukoba.

Amesema watu halisi wanaupendo sana na wakati anatoka Bukoba watu wamelia sana, amejisikia vibaya na kuahidi kurudi tena.

https://www.instagram.com/p/B-JisVeHryMPh1ldTRo9-q5BqLnocl-7iF5qZo0/?igshid=1bbqb1cg1rudr

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *