Mambo Yakufanya Ukiwa Karantini

Baadhi ya nchi katika ukanda wa Afrika mashariki zimeshaanza kutangaza karantini za wanachi wake ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Corona katika nchi hizo, Corona imeshaua takribani watu 19,000 dunia kote na nijambo ambalo hatuliombei litokeeĀ  lakini yafuatayo baadhi ya mambo ambayo unaweza kuyafanya ukiwa kwenye karantini

1.Mitandao Ya KijamiiImage result for person on social media

Karantini ni sehemu ambayo unakaa mwenyewe bila hata kuchangamana na watu pasi shaka unamiss kukutana na watu basi kama utajihisi mpweke bila shaka mitandao ya kijamii itakua moja kati ya njia za kukufanya uwe karibu na watu wako wote ambao wapo mbali na wewe usisahau kujiingiza kwenye mitandao kama Facebook, Instagram, twitter na Operanews kupata taarifa na kujua kinachoendela huko nje

2.TelevisheniImage result for watching tv

Huyu anaweza kuwa rafiki yako wa pili kama unaye nyumbani kwao maana televisheni inasaidia kukimbiza muda mbele hakikisha unaangalia movies hata taarifa za habari ili kuondoa upweke unakukuta mara kwa mara na kama ni mtu ambaye una michezo ya kwenye tv (Play station) hakikisa unacheza ili kukimbiza muda

3.Mazoezi MepesiImage result for indoor workout

Hapa sio lazima uende GYM bwana unaweza kufanya mazoezi mepesi mepesi nyumbani kwako na ukiwa mwenyewe bila hata kusumbau mtu mwingine hii itasaidia kufanya mwili wako kuchangamka na kujiona mwenye nguvu na pia kukusaidia kukujilinda dhidi ya magonjwa mbalimbali

4.Soma VitabuImage result for indoor reading

Kama ni mtu ambaye unataka kuongeza upeo wako hakikisha unasoma walau kurasa mbili au tatu za kitabu kila siku inavyoitwa leo huu ni ushauri wa wataalm lakini kwa kipindi hiki cha karantini ni sahisi zaidi kufanya hivi kwakaua una muda mwingi wa kusoma na kutafakali

5.Jifunze Kipaji kipyaImage result for indoor guitar playing

Kuna vipaji ambavyo hautakiwi hata kutoka nje ili kujifunza na kujifunza yakupasa ukae ndani na ufanye mwenyewe kama kuchora kujifunza kupiga kifaa cha muziki kama Gitaa au hata kinanda kama unacho nyumbani kwako hakikisha unatumia muda huu vizuri kuongeza ukuaji wako wa kibinadamu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *