Fatma Karume amtupia lawama Rais Magufuli uvunjifu wa haki za binadamu

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria (TLS), Fatma Karume, amesema anahitaji kujua ni kwa nini wakati wakusifu Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Profesa Palamagamba Kabudi anamsifu Rais John Magufuli na serikakali yake.

“Wakati wa lawama za uvunjifu wa haki za binadamu, Kabufi anasema #Tanzania?

Fatma ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa uvunjifu wa haki za binadamu ni dhidi ya Magufuli na serikali yake akiwemo Kabudi na si Tanzania.

” Naomba nielewe kwa nini wakati wakusifu Kabudi anamsifu Magufuli na serikali yake lakini wakati wa lawama za uvunjifu wa haki za binafamu, Kabudi anasema #Tanzania? Tuelewane lawama ya uvunjifu wa haki za binadamu ni dhidi ya Magufuli na serikali yake akiwemo Kabudi na si TZ,”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *