Mdude: Najiuliza mwalimu gani kamfundisha Rais Magufuli kupita bila kupingwa ni demokrasia?

Mwanaharakati Nyagali Mdude maarufu kwa jina la Mdude Chadema amesema huwa anajiuliza mwalimu gani alimfundisha Rais John Magufuli kupita bila kupingwa ni demokrasia.

“Kupitwa bila kupingwa nayo ni Demokrasia? Mwalimu mwenye mafundisho ya nna hiyo ni muhimu akaguliwe vyeti,” aliandika Mdude

Mdude aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter  alieeleza kuwa demokrasi ni lazima upigiwe kura kama hukupigiwa kura unakosa sifa ya kuwa kiongozi wa umma.

Aliandika “Kuna wakati najiuliza hivi ni mwalimu gani alimfundisha Rais kuwa kupita bila kupinfwa nayo ni demokrasia mwalimu mwenye mafundisho ya namna hiyo ni muhimu akaguliwe vyeti,”

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *