Kocha wa Simba asema kuna mabadiliko ila ushindi lazima dhidi ya Stand

Kocha mkuu wa klabu ya Simba amewahakikishia ushindi mashabiki wa timu hiyo katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Stand United utakaopigwa mkoani Shinyanga.

“Kila mmoja yupo tayari kwa mchezo lakini kwenye mchezo mmoja hatuwezi kutumia wachezaji wote 29 hivyo lazima kuchagua wachezaji wa kuwatumia, na kwa huu mchezo labda kutakuwa na mabadiliko machache”,

Amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kuwasapoti katika mechi hiyo yak ambo la Shirikisho (AFC).

“Mashabiki wetu wajitokeze kutushangilia, tupo kwenye hali nzuri na kesho tutacheza mchezo mzuri.” Sven.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *