Siri yafichuka nyimbo mpya ya Diamond na Mkewe Tanasha (Gere)

Siri si siri tena, kwa tulioiona video ya Wimbo wa Gere ambayo Diamond Platinumz ameshirikiana na mke wake mambo mengi kumbe yalikuwa ni uongo mtupu.

Diamond mwenyewe ndiye ametoboa Siri kupitia Istagram yake akisema kile kipande cha white white ilibidi lichimbwe shimo ili kulingana.

Kumbe jamaa demu wake anamzidi urefu bana check hapo shimo lilivyochimbwa faster ili kupata picha nzuri.

Lakini mwisho wa siku ndiyo sanaa hiyo lazima kuangalua unatoa kitu gani na kukipangilia vizuri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *