Gumzo; Dk Mwaka hulala na wake zake watatu kwa pamoja

Wengi tunamfahamu Dk Mwaka kwa jina na umaarufu wake lakini hatujui undani wake jamaa unaambiwa ameoa wake watatu na kuna wakati wote analala nao chumba kimoja.

Kuoa mke zaidi ya mmoja sio ajabu katika jamii zetu ajabu ni hilo la kulala nao wote kwa pamoja. Amesema kilichosababisha kuoa wake watatu ni uanaume wake.

Akihojiwa na kituo kimoja cha redio leo Dk Mwaka amesema huwa inatokea sana kulala nao lakini hajafunguka kama huwa anakwichi kwichi kwa pamoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *