Shafii Dauda autaka Urais wa TFF

Mchambuzi wa soka ja mkuu wa vipindi wa Clouds Fm Shafii Dauda amesema anaitamani sana nafasi ya Wallace Karia ili kuleta maendeleo ya soka nchini.
Shafii ambaye amebainisha kuitaka nafasi hiyo ya Urais wa Shirikisho la soka nchini (TFF) hata hivyo amesema anaweza akatimiza nia hiyo bila hata kuwa katika nafasi ya Urais.
Akijojiwa katika luninga moja hapa nchini Dauda amesema kwakuwa nia yake ni kuleta matokeo chanya katika maendeleo ya soka atatumia majukwaa mengine kufanya hivyo.
“Ndiyo maana kuna jukwaa kama SHADAKA inasaidia vijana kupata nafasi na hii inatosha kabisa kuonyesha mchango wangu katika soka,” amesema Shafii.
…..
Nini maoni yako mdau wetu unadhani viatu hivyo vinamtosha Dauda? tuandikie chini hapo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *