Fatma Karume: Roho ya mwanamke thamani yake haifikii ng’ombe mmoja mnatia aibu sana

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume, ameendelee kuibana mahakama kwa kitendo cha kutoa hukumu ya Sh 300,000 kwa aliyehusika kumuua mkewe.

Anasema unamtolea mwanamke mahari ya ng’ombe 10 unamuoa. Siku moja anàkukera unamtandika mpaka unamtoa roho.

“Mahakama ya #Tanzanka inakwambia gharama ya roho yake ni TZS 300,000 tu @judiciarytz ,” aliandika Fatma katika ukurasa wake wa Twitter.

Amesema gharama ya roho ya mwanamke ni ndogo kuliko bei ya ng’ombe mmoja wanatia aibu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *