Zitto: Nasikitika Tanzania inapoteza nafasi ya uhuru wa watu

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema uhuru wa watu ni jambo kubwa sana anasikitika…

Fatma Karume: Kinachonikera hao wapinzani wanaowatetea Watanzania ndio wanaopigwa risasi, kupotezwa na kufungwa

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amesema anachokichukia na hao upinzani wanaojitokeza kuwasemea Watanzania ndio wanaopigwa risasi,…

Mwanzo mwisho Hotuba ya Mgombea uenyekiti Chadema akirejea CCM

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wana wa habari; Nianze kwa kuendelea kuwashukuru kwa kazi kubwa…

Mdee ampa makavu mbunge aliyehamia CCM asema walishamjua mpango wake, yupo mwingine aliyekosa kanda atahama ‘soon’

Mbunge wa jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee, amesema aliyekuwa mbunge wa Ndanda (Chadema) Cecil Mwambe,…

Zitto amesema serikali imefanya uharibifu mkubwa katika uchumi

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema uharibifu wa uchumi unaofanywa na serikali ni mkubwa…

Christine afunguka kuachana na Alikiba

Kwa muda mrefu kumekuaa na tetesi ambazo hazijathibitishwa juu ya Christine Mosha, ambaye amewahi kuwa meneja…

Waziri Ummy apiga marufuku hospitali za serikaki kuzuia maiti kwa kisingizio anadaiwa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa…

Zitto: Nilishauri mradi wa reli SGR usijengwe kwa fedha za ndani ona mmekwama kuwalipa wakandarasi

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, amesema mwaka 2016 alishauri haiwezrkank kujenga mradk mkubwa wa…

Zitto amjibu Bashiru amuambia wameenda nje ya nchi kueleza CCM inavyobaka demokrasia

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amemjibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),…

Ajibu, Mzamiru na Miraji kuikosa mechi ya Lipuli, Kocha asema wapo Fit

Wakati Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Simba SC wakiingia dimbani leo kuwakabili…