TFF Yatoa onyo kwa Yanga kwasababu ya janjajanja

Image result for yanga vs ruvu shootingShirikisho la Soka nchini (TFF) limeionya klabu ya Yanga SC kwa kosa la kuwakilishwa na watu pungufu ya idadi inayotakiwa katika kikao cha maandalizi ya mechi (Pre-match meeting).

Mabingwa hao wa kihistoria wanadaiwa kufanya kitendo hicho katika maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting, Februari 8, 2020 kwenye Uwanja wa Uhuru.

Mbali na kufika pungufu Yanga walifanya janja janja kwa kujaza jina la kocha wa walinda milango Peter Manyika kuwa amehudhuria kikao hicho wakati hakuhudhuria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *