Jeshi la polisi linamshikilia aliyemchinja mkewe mjamzito

Jeshi la polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa Mrere Mashati wilayani Rombo, Antony Asenga (33) kwa kumuua mkewe.

Mwanamke huyo aliyeuawa inadaiwa kuwa alikuwa na ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 8.

Jeshila Kamanda wa jeshi hilo Mkoani hapo Salim Hamduni amesema Asenga amemuua mkewe kwa kumchinja na kisu shingoni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *