Hatma Ya Malinzi, Mwesingwa Kujulikana Leo

 

KESI INAYOMKABILI RAIS WA TFF JAMAL MALINZI NA KATIBU WAKE ...Mahakama ya Kisutu leo inatarajia kutoa hukumu katika kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake baada ya upande wa mashtaka na utetezi kumaliza ushahidi

Awali hukumu hiyo ilitakiwa kutolewa Novemba 7 lakini iligonga mwamba kwasababu Hakimu aliyetarajiwa kutoa hukumu alihamishiwa sehemu nyingine

Dailynews

Mbali na Malinzi, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Joas Selestine (46) na Mhasibu wa TFF, Nsiande Isawayo Mwanga (27)

Wote wanakabiliwa na mashtaka 30 yakiwamo ya kula njama, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishaji wa fedha wa USD 173,335 na Tsh. 43,100,000

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *