Watu wawili wamedaiwa kufa kwa kula ugali wa muhogo unaodaiwa kuwa na sumu

Watu 25 wa familia nne katika kijiji cha Busumba Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wamedaiwa kula ugali wa muhogo unaodhaniwa kuwa na sumu.

Katika tukio hili imedaiwa kati yao wawili  wamefariki.

Mkuu wa wilaya ya Ukerewe, Magembe ameagiza mazao kupatiwa vibali vya uthibitisho wa ubora kabla ya kuuzwa wilayani humo ili kuepusha madhara zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *