Fahmi Dovutwa avuliwa uwenyekiti UPDP

ONE CLICK Habari: ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU ZA UTEUZI WA ...

Halmashauri Kuu Taifa ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP) imemvua Uenyekiti Fahmi Dovutwa baada ya kubainika kufanya kosa la kukisemea chama hicho kinyume na Katiba

Uamuzi huo ulitangazwa jana na Kaimu Mwenyekiti wa UPDP Taifa, Abdalla Mohammed Khamis baada ya kikao kufanyika ili kujadili kwa kina makosa aliyoyafanya Dovutwa

LOWASSA SASA MGUU PANDE MGUU SAWA KIMAPAMBANO,SOMA HAPO ...

Kosa kuu lililopelekea kuvuliwa wadhifa wake ni kusema chama hicho kuwa hakitoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 24, 2019 Tanzania Bara bila kuagizwa wala kupata ridhaa ya uongozi wa chama hicho

Alisema, suala la chama hicho kutoingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa imekiathiri kwani utekelezaji wa agizo alilotoa Dovutwa limesababisha chama kukosa Wenyeviti wa Serikali hizo ambao wataweza kuwakilisha chama

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *